Karibu kwenye Dira ya Takwimu! Kutafsiri kabrasha la dodoso hilo kutoka kwenye Kiingreza kwenda kwenye Kiswahili. Bonyeza kitufe kinachoelekezwa upande wa  juu wa kulia pembeni kwenye ukurasa huo.

Tathmini hii ni sehemu ya tathimini kubwa ambayo ilifanyika na mradi wa Data Zetu ambayo ilijumuisha usaili uliofanyika kwa wafanyakazi wa afya katika Halmashauri ya Kyela. Madhumuni ya tathmini ni kutambua/kubainisha changamoto ambazo vituo vya kutolea huduma za afya vilivyopo vijijini vinapata katika matumizi ya takwimu wakati wa  kupanga mipango na bajeti, na kuwajulisha Wadau muhimu na kutambua  suluhisho katika kutatua changamoto hizo.

Tathmini hii itakutaka wewe kuainisha  maswali yafuatayo:

  • Ni aina gani ya takwimu ambazo wewe unashiriki/zinakuhusu?
  • Takwimu zenu mnazitunza wapi?
  • Ni nani ambaye ana uwezo wa kuzipata, kushirikina, au kuzimiamaia?

Tathmini/Dodosa hiyo ni fupi itachukuwa si zaidi ya dakika kumi (10) kuikamilisha. Tunashukuru kwa ushiriki wako!

« Quit